Friday, August 31, 2012

KAPTENI GADNA G. ATUA RADIO TIMES FM 100.5



Gadna akizungumza na Waandishi wa Habari katika mgahawa wa City Sports Lounge, katikati ya Jiji. Wengine kulia kwake ni Scholastica Mazula, Cliffor Ndimbo na Hadija Shaibu 'Dida'. Kulia ni Jabir Saleh. Watangazaji wa Times Radio 100.5. FM

Gadna kushoto akiwa na Schola na mtangazaji mwingoine mpya wa Times, Natasha ambaye anatangaza kipindi cha Filamonata.

William Malacela akimpongeza Gadna

Waandishi wa Habari waliohudhuria utambulisho wa Gadna Times FM  wakipata maakuli 

MTANGAZAJI Super Star bongo, Gadna G. Habash  ametambulishwa rasmi kuhamia Radio Times FM, baada ya kuwa nje ya kazi kwa takriban miaka miwili, tangu aipige chini Clouds FM.
Sauti tamu ya mume huyo wa mwanamuziki nyota Tanzania, Lady Jaydee sasa itakuwa ikisikika kwenye kipindi cha Maskani, kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa1:00 usiku.
Mara ya mwisho, Kapteni G alikuwa akitangaza kipindi cha Jahazi Clouds kabla ya kubwaga manyanga Novemba mwaka 2010 katika kipindi ambacho redio hiyo ilipoteza mastaa wengi, wakiwemo Fina Mango, George Njogopa na Masoud Kipanya.   
Fina kwa sasa yupo Magic FM na Kipanya alimtangulia Gadna Times. Kwa sasa, bila kutafuna maneno, Times FM ipo juu ‘kinoma’ katika FM radio za kibongo na nyingine nyingi zimebakiza umaarufu wa majina tu.
Mona na mama yake, watangazaji wa Filamonata Times FM

Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto katikati, kulia Mkurugenzi wa Jambo Concept Inc, Benny Kisaka na William Malecela, walikuwepo kwenye utambulisho huo 

Willy Malecela akiwa na vifaa vya Times FM

Aerial photos reveal flood damage from Hurricane Isaac

Interstate 10 lies partially submerged by floodwaters in LaPlace, La., Aug. 30, 2012. 


Dislodged homes and debris appear on the levee in the community of Braithwaite, La., along the Mississippi River, at left, after Hurricane Isaac, Aug. 30.

TAMASHA LA UZINDUZI WA "HAKUNA JIPYA" YA MASANJA




Kama kawaida ya Bongo Movie ushirikiano kwa ni jadi yao, Waliuvamia mkoa wa Iringa kwa ajili ya uzinduzi wa album inayokwenda kwa jina la Hakuna Jipya iliyoimbwa na mwanachama wa Bongo Movie bwana Masanja Mkandamizaji, hongera sana kwa kazi nzuri ulioifanya na kumpokea Yesu Kristo Mungu akutie nguvu ili usitetereke na ya Dunia kwani hatujui siku wala wakati...

The Greatest ndani ya Mkoa wa Iringa..
 Mashabiki wangu walifurahi sana baada ya kumwona kijana wao anayewapa mafunzo na kuwaburudisha, hapa wakinipa mkono nami sikusita kuwa salamu ya nguyvu kwani bila wao hakuna The Greatest.


Jenifer Kiyaka(Odama) na Recho Haule ndani ya Iringa katika uzinduzi wa Masanja ukipenda pia waweza kumuita Mchungaji mtarajiwa , jamani album ya Hukuna Jipya ipo mtaani tumuunge mkono na tuache kununua kazi feki kwani kufanya hivyo ni kumnyonya msanii..

Juma Chikoka(Chopa) na Kupa wakiufatilia uzinduzi huo.

Richie na Mariam Ismail

Jack Wolper na Mama Herieti.

Davina.

Cath na Devota

Chiki Mchoma akiwa na Odama.

The Greatest nikiwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unit JB tukilifurahia jambo flani hivi wadau wangu

Irene Uwoya.

Nyerere The Power na Batuli(Neshi) kwenye pozii..

Hii ndo meza ya mgeni rasmi aliyevalia suti nyeusi Mheshimiwa Philp Mugulo Naibu Waziri wa elimu na mafunzo  akiteta jambo.

Mda ulifika wa Msanja Mkandamizaji kutoa show kali katika albam yake ya injili, jina ya album Hakuna Jipya

Masanja akikamua stejini

Muda wa kusoma risala ulifika na mwenyewe Masanja ndiye aliyesoma risala hiyo akiwa na vijana wake wa kazi hongera sana kaka
The power naye akuwa nyuma kumpa tafu ndugu yake Masanja

Ulifika muda wa Bongo Movie kuvamia jukwaaa
Timu nzima ya Bongo Movie jukwaani

Ratiba zikiendelea.


         
 Nawashukuru sana wakazi wa Iringa kwa jinsi walivyonipokea na kunishangilia sana.

         
Uwoya aliweza kuongea machache.

     
Coreta.

   
Chopa

Kama kawaida yetu tuliacha historia  kwa kufanya show kali .


Mgeni rasmi Mheshimiwa Philp Mulugo Naibu Waziri wa elimu na mafunzo akipanda stejini tayari kwa hotuba

Mgeni rasmi akiongea machache juu ya uzinduzi huo..
Tukiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi.


Dada wa Masanja naye alikuwepo kuhakikisha akiaribiki kitu ni Mbunge huyu dada kama sikosei

Tukipata sala kwa pamoja.
Uzinduzi ukifanyika.

Mwenyekiti wa Bongo Movie akiongea machache na kuwashukuru wakazi wa Iringa.

Msanja akimzwadia JB album ya hakuna jipya.

Show ilikwisha na vijana wa Iringa walipata bahati ya kupiga picha na wana Bongo Movie

Thursday, August 30, 2012

WATAALAMU WA MAMBO YA AFYA KUTOKA NCHINI INDIA WAJA TANZANIA KWA ZIARA YA UTALII WA AFYA


Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mazungumzo hayo.


Mkurugenzi wa Shirikisho Kanda ya India Chemba ya Biashara na Viwanda (FICCI), Lt. Vivek Kodikal (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika ubalozi wa India uliopo jijini Dar es Salaam jana kuhusu ziara ya kitalii ‘’ Utalii wa Afya‘’ itakoyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia tarehe 30 na 31 Augusti. Moja ya lengo ikiwa ni kujuana kwa wasomi na kuelimishana na kuboresha huduma.


Mshauri wa Ubalozi wa India, Kunal Roy akiongea katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu ziara ya kitalii ‘’ Utalii wa Afya‘’ itakoyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia tarehe 30 na 31 Augusti. Moja ya lengo ikiwa ni kujuana kwa wasomi na kuelimishana na kuboresha huduma.

Rescues as Isaac's surge tops levee in Plaquemines Parish, La.

People and a dog who were rescued from their flooded homes are loaded into a Louisiana National Guard truck, after Hurricane Isaac made landfall and flooded homes with 10 feet of water in Braithwaite, La., in Plaquemines Parish on Aug. 29.
Carlo Maltese and his dog Pin get off a boat after being rescued from his flooded home as Hurricane Isaac hits Wednesday, Aug. 29 in Braithwaite, La.


People rest in a rescue truck atop a levee next to floodwaters after being rescued in Plaquemines Parish on Aug. 29 in Braithwaite, Louisiana. Dozens were reportedly rescued in the area after levees were overtopped by floodwaters from Hurricane Isaac. Today is the seventh anniversary of Hurricane Katrina.
Rescue workers look out at floodwaters from a levee on Aug. 29, 2012 in Braithwaite, La . Dozens were reportedly rescued in the area in Plaquemines Parish after levees were overtopped by floodwaters from Hurricane Isaac.