Wednesday, August 18, 2010

Tanzania ktk Ligi kuu ya Uingereza

Inafurahisha kuona Tanzania inatangaza kuwa mlima Kilimanjaro upo Tanzania katika ligi kuu ya soka huko Uingereza. Jirani zetu wanaojitangazia kuwa mlima upo kwao hapa watakoma kuringa. Hii ilikuwa katika mechi kati ya Blackburn Rovers na Everton ambapo Everton walifungwa 1-0. Tazama matangazo nyuma ya goli katika picha zote mbili utaona matangazo hayo ya Tanzania



Tanzania idumu. Mungu ibariki Tanzania

No comments: