Thursday, November 10, 2011

Mfalme Mswati wa Swaziland aoa mke mwingine tena, nadhani ni wa kumi na ...

Jionee mwenyewe tukio zima katika hizi picha. Ila jamaa anajua kuchagua, we mcheki huyo mrembo wake utaamini.

 Katika ngoma za jadi matiti yanawekwa nje tu na wala watazamaji haiwapi tabu


 Hata JONGWE-RAIS Robert Gabriel Mugabe alikuwepo.

No comments: