Linganisha picha ya juu kabla ya barafu na picha ya chini baada ya barafu kutapakaa.
![]() |
| Kutoka juu katika paa la Merril Gardens Retirement Community ndivyo inavyoonekana barabara ya 35th Avenue |
![]() |
| Hapa ni Beacon Hill-Seattle |
![]() |
| Hapa ni Nguzo ya Totem Rotary View Park , 35th Avenue |
![]() |
| Hili ni daraja la Joze Rizal-Seattle Marekani |




No comments:
Post a Comment