Wakazi wa mji wa Musoma wakichukua mchanga kandokando ya ziwa victoria licha ya serikali kupiga marufuku uchotaji wa mchango kando ya ziwa hilo.Hata hivyo inaoenekana wazi katazo hilo la serikali halijatiliwa mkazo kutokana na kwamba hakuna hata vyombo vya usalama ambavyo vinaweza kutembea kando ya ziwa hilo kwa lengo la kuwakamata wale wanao fanya uharibifu huo.Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi aliyekuwa Musoma.
This blog is for critical thinkers, people with open mind, ready to accept criticisms and work on them. Sharing the know-how, skills and experiences of Life and Technology at large. You are warmly welcome!! ---------------------------------------------------- Blogu hii ni kwa ajili ya wenye fikra makini wapendao kupokea na kufanyia kazi ukosoaji. Walio na mtazamo chanya tena mpana katika kushirikishana maarifa, ujuzi na uzoefu wa maisha na teknolojia kwa ujumla wake. Karibuni sana !!!
Wednesday, January 11, 2012
UHARIBIFU WA MAZINGIRA ZIWA VICTORIA SI WA KUFUMBIA MACHO
Wakazi wa mji wa Musoma wakichukua mchanga kandokando ya ziwa victoria licha ya serikali kupiga marufuku uchotaji wa mchango kando ya ziwa hilo.Hata hivyo inaoenekana wazi katazo hilo la serikali halijatiliwa mkazo kutokana na kwamba hakuna hata vyombo vya usalama ambavyo vinaweza kutembea kando ya ziwa hilo kwa lengo la kuwakamata wale wanao fanya uharibifu huo.Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi aliyekuwa Musoma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment