![]() |
| Waandamanaji wakiwa na mabango ya picha ya Mchungaji Martin Luther King Jr. katika maadhimisho ya 34 ya kumbukumbu yake huko Memphis Tenn Marekani jana Jumatatu January 16, 2012. |
![]() |
| Kijana Andrew Boudreaux (mwenye miaka 10) akiongoza maandamano hayo ya maadhimisho ya 34 kwa ajili ya MLK jr. huko Raleigh nchini Marekani |
![]() |
| Maandamano ya kumbukumbu hiyo |
![]() |
| Maandamano ya Wall Street huku wakiwa wamewasha mishumaa katika kumbukumbu ya Mchungaji Martin Luther King Jr. huko New York |
![]() |
| Rais Barrack Obama akitoa neno fupi wakati wa sherehe ya maadhimisho hayo. Kulia kwake ni binti yake Malia na mkewe Michelle |








No comments:
Post a Comment