Friday, February 3, 2012

Bahrain bado hakujatulia-Maandamano na fujo kama kawaida

Waandamanaji wanaodai mabadiliko wakilikimbia bomu la kutoa machozi (angalia chini ya miguu ya huyo kaka mwenye sweta jeusi) lililotupwa na askari wa kutuliza ghasia. Hayo yametokea jana Alhamisi Februari 2, 2012 katika kijiji cha Maamer kusini mashariki mwa mji mkuu Bahrain uitwao Manama

Askari wa kutuliza ghasia wakiwa tayari kupambana na waandamanaji wenye fujo katika kijiji cha Maamer kusini mashariki mwa mji mkuu Manama jana Februari 2, 2012.

Mmoja wa waandamanaji akiwa ameshika jiwe(mkono wa kushoto) na bomu la kutengeneza (molotov cocktail) mkono wa kulia akiwa tayari kabisa kuwarushia askari wa usalama

No comments: