Wednesday, February 8, 2012

Hata Bugando nao waligoma jana

Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu tangu Taifa la Tanzania liundwe hatimaye Hospitali KUU YA RUFAA ya Taifa MUHIMBILI YASITISHA HUDUMA kwa wananchi. Tangazo hapo juu linaonesha hata Bugando nao wameamua kusitisha huduma.

No comments: