Thursday, February 2, 2012

Huku baridi huku joto na watu wanakufa, vitu vinaharibiwa-Ndio Dunia

Baridi kali hadi watu na vitu vinaharibiwa. Hapa magari yanazidi kuharibika kwa baridi.

Watalii wa kijerumani Lisa Klingelhoefer na Dawina Goth wakipunga upepo na kuota jua jana Jumatano February 1, 2012 hiko Central Park New York Marekani. Sehemu zingine watu wanakufa kwa baridi lakini hapa joto kali.

No comments: