Thursday, February 2, 2012

Huzuni kubwa katika soka la Misri-Watu wauawa uwanjani

Washabiki wa soka wakikimbia moto mkubwa katika uwanja wa Port Said Misri jana Jumatano Februari 1, 2012. Watu 74 wamekufa na wengine 1,000 wamejeruhiwa katika tukio lililohusisha fujo kwa timu pinzani. Tukio hili limetafsiriwa na mmoja wa mashabiki kuwa ni "Vita na sio Kandanda"

Askari polisi wakiwalinda wachezaji wa Al-Ahly ili watoke kwa usalama katika uwanja wa Port Said jana

Askari polisi akimkamata shabiki wa soka aliyejeruhiwa wakati wa fujo hizo katika uwanja wa Port Said Misri jana Jumatano Februari 1,2012.-Huzuni sana kwa waliokufa.

No comments: