Wednesday, February 15, 2012

Ma-Bwana-Mifugo wana kazi sana, inahitaji ujasiri kuwahudumia viumbe fulani fulani!

Hapa mtaalam wa wanyama Jim Duquesnel kamkamata "Iguana" aina ya mjusi wa jangwani na kando ya maji huko Bahia Honda State Park-Florida Marekani

Na hapa sasa anampima urefu wake

No comments: