Thursday, February 2, 2012

Picha zaidi za tukio la kutisha huko Misri-Watu 74 wafa uwanjani kwa fujo

Akina mama wakilia kuwaombolezea watoto wao waliofariki kati tukio hilo

Damu ikiwa imetapakaa katika viti
Mmoja wa majeruhi akisaidiwa

Msongamano mkubwa wa watu wakiwa katika treni, ilikua fujo mbaya sana katika historia ya nchi ya Misri kwenye mambo ya soka

Majeruhi akipelekwa hospitali baada ya kushushwa kwenye ndege

No comments: