Monday, March 26, 2012

Emmanuel na Flora MBASHA wapo Marekani, watembelea VOA

 Mwimbaji maarufu wa muziki wa injili nchini Tanzania Flora Mbasha na mumewe Emmanuel (kushoto) walipata fursa ya kutembezwa katika  studio nzima, na kuweza kuona  utendaji wa kazi unavyoenda. Pichani wakiwa Mkuu  wa idhaa ya kiswahili, Dk. Hamza Mwamoyo na  mtayarishaji wa vipindi Bwana Dwayne Collins (kuume). Baada ya hapo kwa pamoja Flora Mbasha alifanyiwa mahojiano na watangazi Sunday Shomary na Mary Mgawe ambayo yalirushwa moja kwa moja hewani. Habari hii imeletwa kwenu na Alex kassuwi, Washington DC. 

Mkuu  wa idhaa ya kiswahili, Dk. Hamza Mwamoyo, akiongea na Flora Mbasha 

Flora Mbasha akihojiwa na Mary Mgawe na Sunday Shomari katika studio za VOA 

No comments: