Thursday, March 15, 2012

Mgombea wa CHADEMA-Nassari aingia sokoni Tengeru kuomba kura kwa wananchi

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA),Joshua Nassari akiongea na wafanya biashara mbalimbali wa soko la Tengeru wakati alipotembelea soko hilo leo kwa ajili ya kuomba kura wa wafanyabiashara hao 

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA),Joshua Nassari akiwa katika soko hilo la Tengeru ikiwa ni muendelezo wa kampeni yake ya kuomba kura kwa wananchi wa Jimbo la Arumeru Mashariki 

No comments: