Thursday, March 15, 2012

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM ARUMERU MASHARIKI

Meneja kampeni za CCM,uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki, Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha CCM, Mwigulu Nchemba (kulia) akimnadi mgombea wa CCM jimbo hilo, Sioi Sumari katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, 14/4/12 katika kijiji cha Shambarai, Kata ya Mbuguni  

No comments: