Tuesday, March 20, 2012

Polisi waandamana "Kishujaa" huko China baada ya kumuua Mbwa Mwitu aliyeuwa watu 2 na kujeruhi wengine kadhaa, Duh hii kali!!

Polisi wa China wakiandamana huku wamembeba mbwa mwitu wa kijivu waliyemuua. Mbwa mwitu huyo amefanya mashambulizi kadhaa kwa wananchi na kuua wawili pia kujeruhi kadhaa. Hayo yametokea jana Machi 19, 2012 huko Zaozhuang kaskazini mashariki mwa China katika jimbo la Shandong.

No comments: