Thursday, March 8, 2012

Ulifahamu MBWA ni nyenzo ya usafiri?

Lisa Polinori (kushoto) akikokotwa katika baiskeli ya tairi moja na mbwa wake. Hapa kwetu Tanzania baiskeli hizi wanafanyika sarakasi lakini kumbe kwa wenzetu ni usafiri tosha kabisa, ona wanavyojali hadi mbwa kavalishwa nguo.

No comments: