Thursday, April 5, 2012

BREAKING NEWS!! GODBLESS JONATHAN LEMA ATENGULIWA UBUNGE WA ARUSHA MJINI!

Maandamano ya wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakimsindikiza "Aliyekuwa mbunge wao" wa Arusha mjini ndugu Godbless Jonathan Lema kuelekea viwanja vya Ngarenaro ambapo anahutubia wananchi sasa hivi. Mahakama imetengua ubunge wa Lema kutokana na kesi iliyofunguliwa na wanachama watatu wa CCM.

Godbless Jonathan Lema amekubali uamuzi wa mahakama na aemsema haina haja ya kukata rufaa isipokuwa ATASHINDA TENA kiti hicho katika uchaguzi mdogo utakaoandaliwa na tume ya Taifa ya uchaguzi

No comments: