Saturday, April 28, 2012

Diamond na Nyota Waziri wanogesha hafla ya Makatibu Muhtasi jijini Mwanza

 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Diamond akizikonga nyonyo za mashabiki wake kwa moja ya nyimbo zake usiku huu,kwenye hafla ya washiriki wa Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini,iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.

Mwanamuziki Mkongwe wa Bendi ya The Kilimanjaro a.k.a Wana Njenje,Nyota Waziri (kulia) akiimba nyimbo yake ya Gere wakati wa hafla ya washiriki wa Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini,iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza

No comments: