Monday, April 9, 2012

Hata Rais Kikwete aliomboleza!

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo na kutoa mkono wa pole kwa wafiwa.

No comments: