Saturday, April 7, 2012

Jikumbushe Steven Kanumba alivyodhalilishwa na baadhi ya waTanzania wenzake eti hajui "Kiingereza" alipokuwa "Big Brother Africa 2009. Nakumbuka kwa masikio yangu nilimsikia Hamisi Mandi a.k.a B12 wa CloudsFM akimdhalilisha na kusema "Access Denied" Kanumba lifanyiwa jambo "BAYA"

No comments: