Wednesday, April 4, 2012

Kimbunga/Tufani chapiga tena huko Texas Marekani!

Mwanadada Jerica Jenkins akikagua uharibifu uliofanywa lwenye nyumba yake na kimbunga/tufani jana Jumanne Aprili 3, 2012 huko Lancaster Texas

Trela la trekta lefu likiwa limepinduliwa na kimbunga/tufani hio kusini mwa Texas

Hapa ndio hali mbaya, magari, nyumba na vinginevyo vyote havitamaniki, Du!

No comments: