Wednesday, April 25, 2012

MWENDESHA BODABODA AUAWA KINYAMA MOROGORO

Mwili wa marehemu Omar ulivyokutwa maeneo ya Tungi.
KASI ya madereva wa pikipiki za biashara ya kusafirisha watu zinazojulikana kama 'Bodaboda' kuuawa kikatili inashika kasi mkoani Morogoro ambapo mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Omari ameuawa na kutupwa kwenye mashamba ya mkonge ya Kinguruwila mkoani Morogoro jirani na kiwanda cha kusindika tumbaku cha Dimon.
 Wakizungumza na mtandao huu, baadhi ya madereva wenzake walisema majuzi dereva mwenzao alipigiwa simu na wateja zake awafuate maeneo ya Tungi na tangu aende huko  hajaonekana hadi mwilili wake ulipookotwa.
PICHA NA DUNSTAN SHEKIDELE, GPL,  MOROGORO

Gari la polisi lililokuja kuuchukua mwili.

Wananchi waliohuzunishwa na kifo cha Moro.

No comments: