Friday, May 18, 2012

Watanzania waliokuwa wakishiriki Big Brother warejea nchini na kuzungumza na waandishi wa habari

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania,Barbara Kambogi (kushoto) akiongea mchana huu kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Southen Sun,Jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa Washiriki wa Big Brother Afrika (Julio na Hilda walio katikati) na Waandishi wa Habari .Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Multichoice Tanzania,Furaha Samalu.

Aliekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame,Julio Batalia akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mchana huu kuhusu ushiriki wake katika jumba lile la Big Brother.

Aliekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame,Hilda Reiffenstein akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mchana huu kuhusu ushiriki wake katika jumba lile la Big Brother.

Kutoka kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Multichoice Tanzania,Furaha Samalu,Hilda Reiffenstein,Julio Batalia na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania,Barbara Kambogi

Wanahabari waliofika kwenye mkutano huo


No comments: