Monday, June 25, 2012

EXTRA BONGO WALIVYOWAPA RAHA MASHABIKI WA MUZIKI TEMEKE



Extra Bongo wakikata mauno.

Mkurugenzi wa bendi hiyo, Ally Choki (kushoto), akionesha makali yake.

Mwanamuziki Pentagon akipiga gitaa.

Mkurugenzi wa bendi ya Coast Modern Taarab, Omary Tego, akitumbuiza.

Mashabiki wa muziki wakikata mauno. Mcheza shoo wa Extra Bongo, Danger Boy

No comments: