Thursday, June 21, 2012

GODBLESS LEMA AKIUNG'URUMA KWENYE MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA MANZESE JIJINI DAR ES SALAAM JANA
Kamanda Lema kaziniAliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA), Mheshimiwa Godbless Lema akiunguruma kwenye mkutano wa hadhara Manzese jijini Dar es Salaam jana.

Mwenyekiti wa Umoja wa Baraza la Vijana wa CHADEMA, John Henche (kushoto) akifuatilia kwa makini mkutano wa Chadema Manzese jana.

Mkuu wa Kurugenzi ya Ulinzi na Usalama ya Chadema, Wilfred Lwakatare (kulia) akifuatilia kwa makini mkutano wa Chadema jana.…
Sehemu ya umati wa wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa Chadema Manzese jijini Dar es Salaam jana.
(Picha na Kurugenzi Ya Habari-CHADEMA)

No comments: