Thursday, June 28, 2012

JOSE CHAMELEONE YUKO TAYARI KWA SHOO YA SABASABA UWANJA WA TAIFA!

Msanii wa Uganda, Jose Chameleone (pichani juu) leo amekamilisha taratibu zote za kusaini mkataba wa kufanya shoo kali Uwanja wa Taifa mpya, jijini Dar es salaam, siku ya sabasaba baada ya Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho, kutia timu Entebe mapema leo.…

No comments: