Tuesday, August 14, 2012

HII NI KALI KULIKO: INAWEZEKANA HII NDIO SABABU MOJAWAPO YA BRAZIL KUSHNDA MEDALI YA SILVER KWENYE OLYMPIC

Karibu asilimia tisini ya majina ya wachezaji waliokuwa wakiunda kikosi cha Brazil kilichoshiriki kwenye michezo ya Olympic kwa upande wa soka, majina yao yalikuwa yakihusisha neno"Silva" - Baasi kuna baadhi ya vyombo vya habari huko duniani wamefanya utafiti na kugundua kwamba inawezekana majina ya wachezaji wa timu ni nuksi na ndio maana wameishia kushinda medali ya silva kwenye Olympic. Je wewe una maoni gani?

No comments: