![]() |
| Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (kati) akieleza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari, kushoto ni AY |
Meneja
Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (kati) akimtangaza msanii
Ambwene Yessayah (AY) (shoto) kuwa Balozi wa Airtel Tanzania kwa Upande
wa wasanii nchini Tanzania kwa mwaka 2012 -2013, AY sasa atashirikiana
na Airtel katika shughuli zote za kijamii za Airtel nchini kwa lengo la
kufaidisha taifa letu hasa sekta ya ELIMU. Kulia ni Meneja huduma kwa
jamii wa Airtel Bi Hawa Bayumi. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi kuu
za Airtel jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment