Tuesday, September 18, 2012

JICA-NACP WAPO UCC ARUSHA

Mwendesha mafunzo Bwana Juma Hanzuruni akiendeleza somo katika kipindi. Hii ni kozi maalum ya "Data Analysis and Production of Feedback Materials" kwa wataalam kutoka mikoa ya Pwani na Dodoma. Mafunzo yameandaliwa kwa pamoja kati ya National Aids Control Program wakishirikiana na JICA. Sisi UCC Arusha ndio wenyeji wao. Hii ni awamu ya kwanza kuanzia Sep 17 hadi21, kisha awamu ya pili ni Sep 24 hadi28, 2012.

Wanafunzi wa warsha hio wakifuatilia kwa makini


Dr. Ayuko Tanaka kutoka JICA ambaye ni Monitorng & Evaluation Advisor nae amkisikiliza kwa makini mwezeshaji Bwana Juma Hanzuruni

Kuweka kumbukumbu katika vijidaftari ni muhimu, na hapa ndicho kinachofanyika


Kwa umakini wa huyu dada lazima aelewe somo hili, unamuona alivyo "Attentive?"


Taswira ya darasa ukilitazama ukiwa nyuma. Tunawafundisha Office 2010 juu ya Windows 7. Hivyo ndivyo walivyohitaji



No comments: