Thursday, October 11, 2012

FLORA MVUNGI AVISHWA PETE YA UCHUMBA

 
Flora Mvungi na H-Baba.
Na Erick Evarist

MWIGIZAJI zao la mchezo wa Bongo Dar es Salaam, Flora Mvungi amevishwa pete ya uchumba na Hamis Baba ‘H-Baba’ baada ya kuishi kinyumba na mwanaume huyo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.

Akifunguka kwa paparazi wetu jijini Dar es Salaam juzikati, Flora alisema safari yao ya kuelekea kuoana na H-Baba ilipigwa vita na wengi lakini kwa sasa anamshukuru Mungu dalili za ndoa zinanukia.

“Kuna baadhi ya ndugu waliweka pingamizi mimi na H-Baba kufikia hatua hii, nilisubiri sana, hatimaye jamaa kaleta posa nyumbani na kanivisha pete ya uchumba,” alisema…

No comments: