Oktoba 7, 2012 ilikuwa ni simu maalum
yaBiharusi Mtarajiwa Fadhila Kikula kukabidhiwa jiko na kupewa mawaidha ya hapa
na pale kutoka kwa akina mama juu ya namna ya kutunza jiko na nyumba yake kwa
ujumla. Siku hii ilikuwa ni ya Kitchen Party.
Biharusi Mtarajiwa Fadhila Kikula akiwa
katika picha ya pamoja na Mpambe wake ambayepia ni mdopgowake Sheila Kikula
muda mfupi kabla ya kufundwa huko Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.
Fadhila akiwa katika picha ya pamoja na
mama zake.
Keki ilikuwa hivi..
Ilikuwa ni shangwe
Mama wadogo wakizungumza neno.
Wageni mbalimbali waalikwa walikuwepo.
No comments:
Post a Comment