Monday, October 8, 2012

TANAPA kuanzisha Tuzo za Uandishi wa Habarai za Utalii wa Ndani na Uhifadhi

http://2.bp.blogspot.com/-X3fFKyyehWU/UHLRVE3GVsI/AAAAAAADcKs/WQBogOMbxV0/s1600/media+award+5.jpg
Meneja Uhusiano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Bw. Pascal Shelutete akiongea na wanahabari mjini Arusha mwishoni mwa wiki ambapo aliatangaza kuanzishwa kwa Tuzo za Uandishi wa Habarai za Utalii wa Ndani na Uhifadhi ambapo kuanzia mwaka huu amesema TANAPA itakuwa ikikitambua, kutahmini na kutoa tuzo kwa waandishi watakaoandika habari zitakazohamasisha Utalii wa Ndani na Uhifadhi katika HIFADHI ZA TAIFA

No comments: