Thursday, November 15, 2012

HONGERA UCC ARUSHA!

Miongoni mwa wanafunzi BORA waliofaulu vizuri katika masomo ya Diploma ni huyu hapa chini aitwaye Mwanaidi Mtawa Kapalata. Yeye amesoma UCC Arusha kwa miaka yote miwili na mara baada ya mahafali ya pili ya UCC yaliyofanyika Novemba 9,2012 pale Karimjee Hall Dsm aliamua kuja Arusha kutuonyesha ZAWADI YA LAPTOP aliyopata. Ni aina ya Compaq.
Uongozi wa wafanyakazi wa UCC Arusha kipekee kabisa tumefarijika sana kwa kutoa mwanafunzi BORA.

Mwanaidi Mtawa Kapalata akionyesha laptop yake

Arusha keep it up, Our continuing students adopt Mwanaidi trends

No comments: