Kwa hisani ya MillardAyo.com

Mwenyeji
wangu Johannesburg South Africa ambae anaishi karibu na hili eneo
aliniambia kwamba hapa ndipo anapoishi mwimbaji Yvonne Chakachaka kwenye
jiji la Johannesburg bado nafukuzia kupata interview na yeye Mungu
akijalia kila kitu kikiwa poa tutakua nae kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM
na millardayo.com
No comments:
Post a Comment