HIVI NDIVYO BARABARA ILIVYO ANZA KUFUNGWA MAENEO YA MAMA JOHN ASUBUHI YA LEO 
GARI LA SERIKALI LIKIWA LIMEPAKI HAPA LIKISHINDWA JINSI YA KUTOKA 
HAPA NI BALAA TUPU VIJANA WANAENDELEA KUZIBA NJIA 
KAZI YAO YA KUZIBA NJIA INAENDELEA HAPA 
HAWA VIJANA WANAKOMAA NA HILI JIWE KUBWA KUELEKEA KUZIBA BARABARA 
HAPA GARI HILI LIKIWA LINAPITA PEMBENI BAADA YA NJIA KUZIBA 
MAMA NA MTOTO WAKIWA WANAKIMBIA KUKWEPA MAGARI 
HAWA VIJANA HAWASIKILIZI MTU WANAENDELEZA KUPANGA MAWE  
HALI ILIKUWA TETE HAPA AMBAPO VIJANA HAWA WALIAMUA KUENDELEA KUZIBA NJIA  MPAKA NA MITI
GARI LA MWANANCHI LIKIWA LIMEKWAMA KUENDELEA NA SAFARI ZAKE BAADA YA VIJANA KUZIBA NJIA 













 
No comments:
Post a Comment