Saturday, November 17, 2012

RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO WA MAJAJI ARUSHA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala ya Waheshimiwa majaji toka kwa muwakilishi wao, Jaji Dkt Fauz Twalib, wakati wa kufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha jana Novemba 16, 2012


Rais Jakaya Kikwete akikufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha jana Novemba 16, 2012

No comments: