Friday, November 16, 2012

RAIS KIKWETE AWASILI ARUSHA, VIONGOZI WA DINI WAMPONGEZA NA KUMUOMBEA MAFANIKIO ZAIDI

Akisalimiana na viongozi wa madhehebu mbalimbali alipowasili Arusha.
Dua ya Kiislam ikisomwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiombewa dua na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro jana Novemba 15, 2012 tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro jana jioni Novemba 15, 2012 tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha.
(PICHA NA IKULU)

No comments: