ALIYEDHANIWA AMEKUFA KWENYE AJALI ILIYOTOKEA USIKU WA KUAMKIA JUMAMOSI AFUNGA NDOA HAKIKA MUNGU NI MKUU
| Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akiwa na mkewe Magreth Mtebe mara tu baada ya kufunga pingu za maisha jana katika kanisa la Agape jakaranda jijini mbeya |
| Bwana harusi Emmanueli na mpambe wake Frank wakiingia kanisani |
| Hakika ni furaha hapa bwana harusi anamtambua mkewe kwa kumfunua shela kabla ya ndoa kufungwa |
| Sasa bana na bibi harusi wanaingia kanisani tayari kwa ibada ya ndoa |
| Mchungaji Emmanuel Mwasota toka E.A.G.T toka DSM ndiyo aliyofungisha ndoa hiyo |
| Hapa bwana harusi akimvisha mkewe pete huku bibi harusi akiwa katika furaha kubwa na kumshukuru mungu kwa kumuepusha mumewe katika ajali iliyotokea |
| Hapa wakipata mibaraka ya ndoa kutoka kwa wachungaji mbalimbali wa kanisa hilo la AGAPE |
| Sasa tu mwili mmoja kitakachotutenganisha ni kifo tu jina la bwana libarikiwe |
| Bwana harusi akipokea cheti cha ndoa toka kwa mchungaji Mwasota |
| Wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa |
| Maharusi wakiwa na familia na wazazi wao |
| Sherehe fupi ya kuwapongeza maharusi ilifanyika katika bustani ya ccm jijini mbeya |
No comments:
Post a Comment