TAMASHA LA USIKU WA MASTAA WA FILAMU DAR LIVE LAACHA HISTORIA
Kundi la Scorpion Girls likiongozwa na Isabela Mpanda (katikati) likiporomosha burudani wakati wa Tamasha la Usiku wa Mastaa wa Filamu lililofanyika Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Mrembo Jacqueline Wolper akiwapa 'hi' mashabiki.…
Kundi la Scorpion Girls likiongozwa na Isabela Mpanda (katikati) likiporomosha burudani wakati wa Tamasha la Usiku wa Mastaa wa Filamu lililofanyika Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Mrembo Jacqueline Wolper akiwapa 'hi' mashabiki.
Jacob Steven 'JB' akionyesha umahiri wake wa kusakata rhumba wakati wa tamasha hilo.
Steve Nyerere naye akionyesha manjonjo yake stejini.
Snura Mushi akiwapagawisha mashabiki.
Msanii Afande Sele akiwarusha mashabiki ndani ya Dar Live.
Bi. Mwenda akionyesha machejo yake stejini.
Ilikuwa ni full burudani ndani ya Dar Live.
Scorpion Girls wakizidi kupagawisha.
Snura na wanenguaji wake wakilishambulia jukwaa.
Bendi ya Twanga Pepeta ikitoa burudani katika Tamasha la Usiku wa Mastaa wa Filamu lililofanyika Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Shilole akiwapa raha mashabiki.
Burudani zikiwa zimepamba moto mahali hapo.
Wanenguaji wa Shilole wakimpagawisha shabiki aliyepanda jukwaani.
Raha zikizidi kushamiri mahali hapo.
Sabrina Rupia ‘Cathy’ katika pozi.
Baadhi ya mastaa wa filamu wakiwa katika picha ya pamoja na rais wao Mwakifwamba (wa pili kulia).
Mrisho Mpoto akiwa katika pozi.
Tundaman akipozi katika Red Carpet.
Rais wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba katika pozi.
Jack Wolper katika pozi.
Mrembo Rose Ndauka katika pozi.
Kingwendu akipozi na watoto katika Red Carpet.Tamasha la Usiku wa Mastaa wa Filamu lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam limeacha historia baada ya kutawaliwa na burudani za kila aina kutoka kwa wasanii wa filamu na wale wa Bongo Fleva. Pichani juu ni baadhi ya matukio yaliyochukua nafasi wakati wa tamasha hilo.
(PICHA ZOTE: ERICK EVARIST NA MUSA MATEJA/GPL)
No comments:
Post a Comment