Monday, January 21, 2013

UONGOZI WA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WALAZIMIKA KUJIUZULU BAADA YA WANACHAMA KUKOSA IMANI NA BAADHI YA VIONGOZI

WANGAPI WANASEMA MWENYEKITI AJIUZULU ?

 FESTO SIKAGONAMO AKISOMA TAARIFA YA KAMATI KUU NA KUSEMA KUWA KAMATI KUU ILIDHARAULIWA NA MWENYEKITI 

CHARLES MWAKIPESILE AKISEMA KUWA ANAJIUZULU KWASABABU HAYUPO TAYARI KUCHANGANYIKANA NA KUFANYA KAZI NA VIONGOZI WABADHILIFU NA YEYE ALIKUWA MJUMBE WA KAMATI KUU.

RASHID MKWINDA AKISOMA MALALAMIKO KWA NIABA YA WANACHAMA WENZAKE
WANACHAMA WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA TAARIFA YA CHAMA

MKURUGENZI WA UTPC ABUBAKAR KARSAN ALIYEHUDHURIA KAMA SHUHUDA KATIKA MKUTANO HUO ALIPATA WAKATI MGUMU WA KUWATULIZA WANACHAMA NA KUWASII WAFUATE KANUNI ZA MKUTANO

CHRISTOPHER NYENYEMBE MWENYEKITI ALIYELAZIMISHWA KUJIUZULU KUTOKANA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA KLABU HIYO
HII NDIYO KAMATI KUU ILIYODHARAULIWA NA MWENYEKITI NA KUPELEKEA KAMATI HII KUJIUZULU

MWENYEKITI WA KAMATI YA MUDA YA KLABU YA MBEYA PRESS BRANDY NELSON AKIWASHUKURU WANANCHI BAADA YA KUCHAGULIWA KUIONGOZA KAMATI HIYO, KUSHOTO NI MKURUGENZI WA UTPC ABUBAKAR KARSAN ALIYEHUDHURIA KAMA SHUHUDA KATIKA MKUTANO HUO
HII NDIYO KAMATI KUU YA MUDA ILIYOCHAGULIWA NA WANACHAMA

KATIBU WA KAMATI YA MUDA USWEGE LUHANGA  AKISHUKURU WANACHAMA BAADA YA KUCHAGULIWA KATIKA KAMATI YA MUDA

MWEKA HAZINA WA KAMATI YA MUDA EMANUEL LENGWA AKISHUKURU BAADA YA KUCHAGULIWA KUSHIKILIA NAFASI HIYO
PICHA YA PAMOJA MARA BAADA YA KUMALIZA MKUTANO HUO KATIKA HOTELI YA MBEYA PEAK

Brady Nelson mwenyekiti,katibu Uswege Luhanga na ,Mwekahazina Emmanuel Lengwa,wajumbe ni Hosea Cheyo,Modestus Nkulu,Festo Sikagonamo na Esther Macha ambao watakuwepo madarakani kwa miezi minne kabla ya kuitisha uchaguzi Rasmi.

No comments: