Thursday, March 14, 2013

BALOZI WA AFRIKA KUSINI NCHINI CHINA ATEMBEA BILA NGUO MTAANI KWA MATATIZO YA KIAFYA
.
Lassy Chiwayo ambae ni balozi wa Afrika Kusini nchini China, amerudishwa nyumbani baada ya mkataba wake kukatishwa kutokana na kukumbwa na kile kinachodaiwa kuwa matatizo ya kiafya.
Gazeti la Daily Teleghraph limeripoti kwamba moja kati ya sababu kubwa ni tatizo kwenye akili yake ambapo inadaiwa balozi huyo ilifikia mpaka kutembea mtaani bila nguo.

No comments: