Sunday, March 10, 2013WATEJA WATAHADHARISHWA WIZI WA MITANDAO YA SIMU

Afisa Utumishi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Kanda ya Mashariki Esuvatie Masinga akimgawia Hawa Selemani kipeperushi  kinachoonyesha shughuli zinazofanywa na Mamlaka hiyo wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano  Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia kwa kuwashirikisha viongozi wa mbalimbali  toka Wilaya hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Mafia Sauda Mtondoo akitoa hutuba wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka,

No comments: