Monday, April 29, 2013


MKE WA WAZIRI MKUU MH TUNU PINDA AMEZINDUA DVD YA KWAYA YA KANISA LA TAG MWENGE

Mh Tunu Pinda akiwa anaonyesha DVD yenye jina la Mungu Wetu Halinganishwi iliyo imbwa na kwaya ya Kanisa  la Tag Mwenge wanaoshuhudia ni kulia kwa Mama Pinda ni Mchungaji kiongozi Abdiel Mhini kulia mwenye kilemba ni Mchungaji Grace Mainoya anayefuatia ni Askofu wa jimbo la Mashariki Kaskazini  Spear Mwaipopo Mama Tunu Pinda alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Dvd hiyo iliyoizindua leo
Mama Tunu Pinda akiwa anasoma risala kwa waumini wa Kanisa la TAG kabla ya kuzindua dvd 
Mwonekano wa Dvd hiyo ambayo imezinduliwa leo

No comments: