FILAMU YA WABUNGE ILIVYOANZA DODOMA
Unajua kinachoendelea kule mjengoni Dodoma katika Mkutano wa 13 wa Kikao cha Bunge la Bajeti la 2013/14? Kwa taarifa yako, ile filamu ya kauli za maudhi au tata katika bunge lililopita, inaendelea sehemu ya pili (part II), Amani lina kauli hizo.
Katika vikao vya awali vya bunge hilo, tayari baadhi ya wabunge wameanza kutumia lugha za kuudhi na kuleta utata wakipigana vijembe kama ifuatavyo:

‘‘Mambo mengi nchi hii hayaendi kutokana na serikali pumbavu, hatuwezi kuwa na waziri wa elimu boya...”
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi
‘‘Kuna wabunge ambao wana mimba sizizotarajiwa bungeni...”
Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde
‘‘Siongei na mbwa bali naongea na mwenye mbwa.”
Mbunge wa Kondoa…
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi
‘‘Kuna wabunge ambao wana mimba sizizotarajiwa bungeni...”
Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde
‘‘Siongei na mbwa bali naongea na mwenye mbwa.”
Mbunge wa Kondoa…
Unajua kinachoendelea kule mjengoni Dodoma katika Mkutano wa 13 wa Kikao cha Bunge la Bajeti la 2013/14? Kwa taarifa yako, ile filamu ya kauli za maudhi au tata katika bunge lililopita, inaendelea sehemu ya pili (part II), Amani lina kauli hizo.
Katika vikao vya awali vya bunge hilo, tayari baadhi ya wabunge wameanza kutumia lugha za kuudhi na kuleta utata wakipigana vijembe kama ifuatavyo:
Katika vikao vya awali vya bunge hilo, tayari baadhi ya wabunge wameanza kutumia lugha za kuudhi na kuleta utata wakipigana vijembe kama ifuatavyo:
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi

Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde

Mbunge wa Kondoa Kusini (CCM), Juma Nkamia

Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa:

Anna Abdallah (Viti Maalum, (CCM)

Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Leticia Nyerere

Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Kesi:
No comments:
Post a Comment