Monday, May 27, 2013

FEZA KESSY NDIYE MWAKILISHI WA TANZANIA BIG BROTHER AFRICA 2013Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Big Brother Africa 2013, ni Mwanamuziki Feza Kessy ambaye ni mwenyeji wa Arusha. Feza mwenye umri wa miaka 25 ana elimu ya Cheti katika Teknolojia ya Habari (IT).

No comments: