Friday, May 24, 2013


WAZAZI KUKWEPA MAJUKUMU YAO SABABU ZA WATOTO KUJIAJIRI JIJINI MBEYAKutoka kushoto ni Fredrick Simon (12), Lushindiho Simkonda (10) na Colyns John (8) wakiwa na mzigo wa tofali.

Mtoto Colyns John mwenye umri wa miaka 8 ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya Msingi Ikuti jijini Mbeya (kushoto), akiwa na mwenzake Lushindiho Simkonda (10) ambaye hasomi shule wakiwa wamebeba matofali kuyapeleka walipoajiriwa ambapo kwa kila tofali moja hulipwa shilingi 30.…

No comments: