Monday, October 21, 2013

MWONEKANO WA BANDA LA UCC MAONYESHO KATIKA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI AICC ARUSHA

MKUTANO WA KIMATAIFA WA AFRIKA KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI JIJINI ARUSHA UNAENDA SAMBAMBA NA MAONESHO YA KIBIASHARA KWA TAASISI ZILIZOKO CHINI YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM NA BAADHI YA MAKAMPUNI YA KITALII NA WATOA HUDUMA MBALIMBALI JIJINI ARUSHA 


Hili ni banda la UCC , pichani kulia ni Mr Steven Mishita na Mr Daudi Mlaule, toka Ucc Arusha. 

Vazi nalo ni sehemu katika suala zima la " huduma kwa mteja", maofisa hawa wakiwa wamevaa Makoti ya ukweli kwa unadhifu wa hali ya juu .

Idara mablimbali za UDSM katika maonesho .

Mr Steven Mishita akiwa na Mr Daniel Alex mshiriki katika mkutano ACC2013 toka UCC tawi la "CITY CENTRE-DAR".Wadau wa Social Media .
Picha zingine katika mkutano huo...

Maofisa kutoka UDBS

UDBS...

UDSM - Utawala 

UDSM - Utawala

No comments: