Wednesday, December 3, 2014

DIAMOND ATUA NCHINI NA KUPATA MAPOKEZI YA NGUVU



Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Diamond alivyotua na kupokelewa kwa
nguvu jijini Dar es Salaam Desemba 2, 2014 akitokea nchini Afrika Kusini
alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo
alijinyakulia jumla ya tuzo 3.

No comments: