Wednesday, March 25, 2015

Majambazi wawili kutoka Italy waonja joto ya jiwe chini ya jeshi la polisi la Tanzania
MAJAMBAZI "WAITALIANO" WAKIONA CHA MOTO

AKIONYESHA KOVU ALILOPIGWA RISASISEHEMU YA KITI ALIPOKAA NA KUPIGWA RISASI,
Habari zinasema kuwa polisi mkoani dar es salaam jana mchana walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia wa italia baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo polisi walipoanza mapambano nao na hadi kuwatia nguvuni baada ya kuwadhibiti na risasi.


WAKIWA NJE YA APARTMENT YAO WALIKOKIMBILIA
GARI WALIYOTUMIA KUPORA
POLISI WAKIWATIA KWENYE GARI MARA BAADA YA KUWATIA NGUVUNI


WAKIPANDISHWA KWENYE GARI WOTE WAWILI


No comments: